Sunday, July 19, 2015

Mama aliyewaua watoto wake wawili na kuwaweka kwenye freezer afungwa maisha


Mama amefungwa maisha Marekani kwasababu ya kuua watoto wake wawili na kuwaweka kwenye freezer kwa miaka kadhaa.

Kisa cha kuwaua watoto wake ni kwamba watoto hao ambao ni wakubwa walikuwa wakiwabaka na kuwalawiti wadogo zao wawili. Kwa hasira akawaua na kuwaficha humo kwenye freezer. .

Ni mambo ya aibu sana hata kuyazungumzia tunaishi kwenye dunia iliyochanganyikiwa sasa hivi...mama kuua watoto wake...watoto kuwabaka wadogo zao.... .

Hivi karibuni huyo mama aliulizwa je watoto wangekuwa hai leo angefanya kitendo kama alichofanya? Akasema ndiyo bado angewaua... Kweli Duniani kuna mambo!!
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger