Hit maker wa nyimbo ya AYE amethibitisha collabo yake na hit maker wa nyimbo ya Chekecha ajulikane kama ally Kiba.
Akiongea na Mtangazaji wa Clouds Fm Millardayo, Davido kasema kuwa Ally Kiba ndio msanii ambae atafanya nae Collabo japo hajasema kuwa collabo hiyo itafanyika lini.
Davido alipoulizwa sababu za kupost bendera ya Tanzania katika mtandao wa Instagram alijibu kuwa Tanzania anaipenda na anaichukulia kama nchi yake hivyo hakuona sababu ya kutopost bendera ya nchi anayoipenda.
0 comments:
Post a Comment