Thursday, November 7, 2013

TRAFIKI ANASWA AKIWA AMEZIMA MARA BAADA YA KUCHAPA ULABU MCHANA KWEUPEE....KWA HALI HII AJALI ZA BARABARANI ZITAKWISHA KWELI..??!!

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyetambulika kwa jina la Shirima, akiwa hoi kwa pombe katika baa moja eneo la Sanawari, jijini Arusha aliponaswa na kamera yetu. 

Askari huyo anadaiwa alianza kukamata masanga aina ya konyagi mapema siku hiyo ya tukio.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger