Staa wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kuwa mauno anayoyakata katika shoo zake yamemfanya apate maombi mengi toka wanaume hasa waume za watu..
Akiongea na mpekuzi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki hasa wanaume ambao wengi wao wamekuwa wakimtongoza kwa ahadi ya kumnunulia gari na nyumba....
Unataka kukiona kiuno chake???....Tazama hiyo video
Saturday, October 12, 2013
VIDEO YA SNURA ALIPODONDOKA KUTOKA JUKWAANI WAKATI AKIKATA MAUNO PALE NEW MAISHA CLUB..!!
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment