Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwa jana wakisafirishwa |

Mmoja wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro
0 comments:
Post a Comment