Tuesday, October 15, 2013

NJIA YA KUWAADHIBU WEZI WA SUPERMARKET YAPATIKANA....

mimi ni choriiii
Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba.
yote hii ni kutaka mambo makubwa ,hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger