Monday, October 14, 2013

NJEMBA YANASWA AKIWA AMEJINYONGA KWA KAMBA HUKO MJINI MOROGORO LEO ALFAJIRI...!!

 Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.

Askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu na  kuanza  juhudi  za  kuutoa  mwili  huo.
Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger