Wednesday, October 9, 2013

MSANII NAKAAYA SUMMARY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME...


 Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii 

ASILI YETU TANZANIA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger