Monday, October 7, 2013

MSANII LINAH WA T.H.T AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA KIBOPA WA HAPA MJINI...!!

clip_image002MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa.Linah akiwa kwenye pozi...akiwaza namna atakavyoanza maisha ya uchumba katika umri huu wa utu uzima wakeakionyesha pete ya uchumba
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger