Kijana Japhet wakati akipokelewa mkoani Iringa.
Safari ya kijana Japhet ilianzia mkoani Mwanza na sasa amefunga mikoa nane kwa kumalizia mkoa wa Morogoro na malengo yake ni kutembea nchi nzima hadi ifikapomwaka 2015 awe amefikisha ujumbe wa amani nchi nzima.
0 comments:
Post a Comment