Wednesday, May 1, 2013

PICHA YA ABIRIA WAKIOKOLEWA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA CHALINZE PWANI LEO MAY 1 2013


Taarifa ambayo sio rasmi ni kwamba hakuna aliepoteza maisha, zaidi ni waliojeruhiwa tu lakini bado Mtandao huu inaendelea kufatilia taarifa ya Polisi Pwani ili kupata taarifa kamili ya ajali ya hili basi liitwalo Smart ambalo lilikua likitokea Mombasa.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger