Friday, May 10, 2013

JESHI LA POLISI LAAHIDI DONGE NONO LA TSHS MILIONI 50/= KWA MTU YEYOTE ATAKAYEFICHUA MTANDAO WA UGAIDI ULIOPO NCHINI...!!

<span style="font-size: large;">
JESHI la Polisi limetangaza donge nono la Sh milioni 50 kwa mtu atakayefanikisha kufichua mtandao wa ugaidi nchini. Mbali na hilo, polisi wamethibitisha kukamata watuhumiwa wengine watatu wa tukio la ulipuaji wa bomu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Joseph Mfanyakazi Olasiti, Arusha. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao watatu kunafanya idadi ya watu wanaoshikiliwa na polisi kufikia 12.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger