MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu.
Wednesday, May 8, 2013
BREAKING NEWZZZZ: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA DHIDI YA ZOMBE...!!
MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment