Video iliyopachikwa hapo chini inawaonesha wakazi wa eneo la Korogocho katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi wanavyokwapua pochi za wapita njia, hasa siku ya Jumapili.
Wanahabari wa kitu cha NTV walitega kamera zao katika eneo hilo na kunasa vitendo hivyo na kuwahoji sababu za kufanya hivyo. Tizama na pata majibu ya yaliyojiri.
0 comments:
Post a Comment