Wednesday, April 3, 2013

UPDATE MPYA: HALI BADO NI MBAYA HUKO TUNDUMA...WAKRISTO WANAWAPIGA HATA WATOTO WADOGO WENYE HIJABU.....!!

Habari za za hivi punde toka  kwa  mdau  aliyeko Tunduma mkoani Mbeya  zinaeleza kuwa hali bado  ni  mbaya  na  watu  wamejifungia  ndani.... ndugu waislam nao wamenza kulipiza kisasi .
Mchungaji mmoja anaripotiwa kuwa na  hali mbaya baada ya kupigwa sana....
 Wakristo nao wanawapiga hata watoto waliovaa hijabu toka shuleni ....
Viongozi wa serikali wote wapo Tunduma. hali ni mbaya FFU wamezagaa mtaani wakiona mko zaidi ya watu wawili mnapigwa bomu, ....
Hadi sasa ile sehemu ambayo ina watu muda wote hakuna hata mdudu barabara zote kuu zimejaa maaskali. 
Kama hujanunua mahitaji ya nyumbani leo unalala njaa
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger