Wednesday, April 10, 2013

SNOOP DOGG AUPONDA USHOGA KATIKA MUZIKI WA KUFOKA FOKA ......!!


Rapa Snoop Dog ameunga mkono ndoa za jinsia moja, lakini amesema wanamuziki wa jamii ya muziki ya kufokafoka hawako tayari kwa sasa kuwa na watu wa aina hiyo

Mkongwe huyo wa muziki wa rapa alisema kuwa uamuzi wa msanii Frank Ocean kujitokeza hadharani kukiri kuwa yeye ni shoga, utafungua njia kwa wengine kujitangaza
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger