Wednesday, April 10, 2013

SINTAH AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YA DIAMOND KULA URODA NA IRENE UWOYA...!!

Haya Chini ni Maneno ya Sinta
"Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana century cinemax  na lile baridi kama nawaona.

Mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi


I do the seeking and you do the judging" Sintah
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger