Saturday, April 20, 2013

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ally Chocky baada joto la Kili muziki award kuanza kuenea mtaani yeye amezikataa tuzo hizo kwa mara nyingine kwakuwa hana imani na tuzo hizo hivyo hataki kuhusishwa kwa namna yoyote ile.
KIMO3
Ally choki amesema hayo wakati akiongoe na bongo5 kuhusu maandalizi na anayazungumzia vipi mashindayo haya na kwa mwaka huu uku kuna baaadhi ya vipengele ambavyo nimeongezwa.
“Mwaka jana nilitangaza kuwa sitaki tuzo hizo lakini wakatuingiza kwa nguvu,nilienda baraza la sanaa taifa “BASATA” kutoa angalizo kuwa siitaji tena nakuomba mwaka unaofuata waniepuke kabisa”
Chocky aliendelea kusema “hizi tuzo zina mapungufu makubwa sana huwezi kuwaweka Diamond,Ally Chocky ,Gurumo na Mzee Yussuf kwenye uwimbaji bora au unawaweka Linnah,Luizer Mbutu na khadija kopa itakuwa kuna watu ambao hawatendewi haki” aliendelea kusema yeye na bend yake wataendelea kuwaburudisha watanzania na wapenda dance na siyo kushiliki kilimanjaro award.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger