Saturday, April 20, 2013

Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?....Nombeni Ushauri....!!

Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??

Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger