Tuesday, April 16, 2013

John Komba ailipua Serikali, adai wananchi wake wanatamani kuwa sehemu ya Malawi...!!



MBUNGE wa Mbinga Magharibi, John Komba (CCM) amesema wananchi wanaoishi kando kando ya Ziwa Nyasa katika jimbo lake, wanatamani kuwa sehemu ya Malawi, kutokana na kusahauliwa kimaendeleo na Serikali.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger