Friday, April 5, 2013

Huyu Ndio Polisi Mjinga Kuliko Wote Africa,Aelekeza Bunduki Matakoni mwake...!!

Gazeti moja huko South Africa limeweza kumpiga Picha Askari huyu huku akiwa amekalia bomba la bunduki kama inavyonesha kwenye picha hapo bila kuogopa kama inaweza jilipua kwa bahati mbaya ...Gazeti hilo likaamua kumpa cheo cha Polisi Mjinga kuliko wote Africa....Can you do like That?
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger