Sunday, April 14, 2013

HUU NDIO MKOKO MPYA WA 50 CENT, UMETENGENEZWA KWAAJILI YAKE TU....!!


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Bado akiwa kwenye headlines za wanaHiphop matajiri duniani, 50 Cent ameingia kwenye vichwa vya habari tena baada kuwa mmiliki wa hili gari la kipekee lililotengenezwa kwa ajili yake tu.
Ni show mpya ndani ya SyFy channel ambayo inaitwa “Dream Machines” ambayo imetengeneza hili gari.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger