Sunday, April 14, 2013

HIZI NDO PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA.....!!



Name:  DSC03435.JPG Views: 0 Size:  7.26 MB




Name:  DSC03444.JPG Views: 0 Size:  6.98 MB


Eneo ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni kama 1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambao unasadikiwa kuwa  ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger