Dodoma Tanzania unafanyika Mdahalo wa Wanawake ambao unazungumzia mambo mbalimbali ya Wanawake Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa nchi, kupata kinachoongelewa na mengine mengi unaweza kujiunga na page yao ya twitter ambayo ndio inatoa hizi habari mbalimbali za kilichojadiliwa kwenye Mdahalo.
Monday, April 15, 2013
HII NDIO TAARIFA KUHUSU WANAWAKE WANAVYOHOFIA KUCHINJWA HUKO BUTIAMA...!!
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment