Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weledi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!
Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani.
Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
SOURCE: JF
0 comments:
Post a Comment