Akizungumza na Uwazi akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hivi karibuni, mzee huyo alisema: “Wafugaji hao walinikata kwa mapanga, inauma sana kwani nilichokuwa nakifanya ni kuwaondoa tu ng’ombe hao wasile mazao yangu lakini mwisho nimeambulia kipigo pamoja na kuchukuliwa fedha na silaha yangu aina ya gobore.
“Nilikwenda kuripoti polisi kisha nikaenda kwenye zahanati ya kijijini kwetu ambapo baadaye nilitakiwa kupelekwa Muhimbili.”
0 comments:
Post a Comment