Monday, March 11, 2013

HII NDIO VIDEO YA JUSTIN BIEBER AKIWA NA HASIRA ALIPOTAKA KUPIGANA NA PAPARAZZI.

.Mastaa wakubwa wa dunia ndio huwa wanaelewa kero za paparazzi wanaokutana nao kwenye mishemishe tofauti, mwimbaji Justin Bieber ni mmoja wao ambapo juzi akiwa kwenye mizunguko ndani ya mji wa London, staa huyu mwenye umri wa miaka 19 alitaka kuingia kwenye fujo baada ya kutukanana na Paparazzi mmoja ambae anadaiwa kumsukuma Bieber ili ampige picha.
Kwenye hii video hapa chini, Bieber anaonekana akitaka kuleteana zogo na Paparazzi lakini anazuiwa na mlinzi wake… kuna lugha nzito kidogo zimetumika.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger