Tuesday, March 26, 2013

HATIMAYE DEREVA ALIYEMGONGA TRAFIKI ENEO LA BAMAGA AFIKISHWA MAHAKAMANI...!!



Akiteta jambo na Issa Mnally  ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili. 

  Waandishi wa habari wakimpiga picha (Simbo) wakati akiingia mahakamani.  …Akiongea jambo na wakili wake (mwenye koti jeusi) mara baada ya kesi kuahirishwa.   Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake. Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge  jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger