Wednesday, March 20, 2013

BREAKING NEWS: LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA MCHANA HUU...!!!


Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.
Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mashitaka yote yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa tene na kufunguliwa mashitaka mengine
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger