Monday, February 18, 2013

UPDATE:YULE MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA


MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.

Mtoto Aneth Johannes baada ya kukatwa mkono.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger