Monday, January 28, 2013
VIDEO: HICHO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI LEO WAKATI DHAMANA YA LULU ILIPOKWAMA..!!
Furaha ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kurejea uraiani baada ya mahakama kuu Dar es salaam kuridhia kupewa dhamana imeyeyuka kutokana na kurejeshwa rumande licha ya kukidhi vigezo vya dhamana vilivyotolewa na mahakama hiyo kutokana na kutokuwepo kwa msajili wa mahakama aliyetakiwa kupitia vielelezo vya dhamana.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment