Friday, December 21, 2012

HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA...MUNGU ATUEPUSHE!!



Mpaka sasa  nimeshindwa niandike nini juu ya habari  hii mana NIMESHINDWA KUIMALIZIA  HII  VIDEO......

Ni vigumu sana kuushuhudia unyama  na ukatili  kama huu ukitendwa  mbele ya binadamu mwenzako.....

Tanzania ni miongoni  mwa  nchi zilizobarikiwa  na kujaliwa  AMANI...Ni  vema  tukaitunza  AMANI  hii  maana  vitu  si kitu  cha  kitoto......

Watu ambao huathirika  na kuumia ni sisi watu  wa  chini  ambao hatuna kitu

ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI

Onyo:

Video Hii isiangaliwe na  mtu yeyote ambaye yupo chini ya umri wa miaka 18!

TUNAOMBA RADHI kwa kuiweka video hii Hadharani...



  video
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger