Wednesday, November 7, 2012
OBAMA ACHAGULIWA KUWA RAIS TENA
Hatimaye aliyekuwa RAIS wa MAREKANI katika awamu iliyopita amepata ridhaa ya kuiongoza nchi hiyo katika kipindi kingine cha Miaka minne. OBAMA ambaye amempita mpinzani wa ROMNEY kwa asilimia chache anatawazwa kuwa RAIS mteule wa nchi hiyo.
HONGERA RAIS OBAMA
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment