Mama mmoja mwenye umri wa miaka 26 ,Mrs. Blessing Uche, ameusikitisha umma wa watu pale alipommwagia maji ya moto mtoto wale wan kike mwanzoni mwa wiki hii.
Mwanamama huyo kwa sasa anashikiliwa na POLISI kwaajili ya maelezo zaidi na wanaharakati wa kutetea haki za watoto wameonekana kulivalia njuga swala hili kwa kutangaza kumfungulia kesi mwanamama huyo.
0 comments:
Post a Comment