Monday, November 12, 2012
DIAMOND APATA AJALI YA GARI!!
Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media ajali hiyo ilisababishwa na mwendesha pikipiki ambapo hata hivyo amesema hakuna aliyeumia. “There is nothing serious lakini,”
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment