Monday, March 20, 2017

Rais Magufuli Amkingia Kifua Makonda.....Amtaka Aendelee Kuchapa Kazi na Wala Asitishike na Kinachoendelea Mitandaoni

Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye mitandao kwasababu yeye ndiyo Rais wa nchi hii. Rais Magufuli amesema kuna baadhi ya watu wanaingilia majukumu yake wakati yeye ndiyo mwenye uamuzi na kwamba...
Share:

Sunday, October 23, 2016

Aunty Fifi: Nimejipanga kwa Ubunge KIGOMA

MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Tumaini Bigilimana ‘Fifi’ amesema kwa sasa anajipanga kwa aajili ya kugombea Ubunge huko Kigoma ili aweze kuwasaidia wasanii wa filamu baada ya kilio chao cha muda mrefu kushindwa kutatuliwa kutoka na maharamia wa kazi zao hivyo anaamini kuwa endapo ataingia Bungeni...
Share:

Bodi ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Zanzibar Yasitisha Kutoa Mikopo Kwa Wanafunzi Vyuo Vikuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameiagiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kusimamisha utoaji wa mikopo ya elimu ya juu, hadi hapo serikali itakapojiridhisha na utaratibu mzima wa utoaji wa mikopo hiyo....
Share:

Majambazi Mengine Yauawa Katika Mapambano Makali Mkuranga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke limeua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Gilles Muroto alisema tukio hilo ni la Oktoba 21 baada ya polisi kupata...
Share:

Madiwani CUF Watwangana Ngumi Hadharani ....Polisi Waingilia Kati

Polisi mjini Tanga jana walilazimika kuingilia na kuzima vurugu zilizotokea katika ofisi za Chama cha Wananchi (CUF), Wilaya ya Tanga zilizotokana na madiwani kugawanyika katika makundi mawili. Makundi hayo ya madiwani yaligawanyika kuhusu uamuzi wa wenzao waliohudhuria kikao cha baraza la madiwani...
Share:

Saturday, October 22, 2016

MPENZI Mpya wa Wema Sepetu Afunguka, Adai Hamjui Idris Sultan

Model anayedaiwa kutoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu, Calisah amefunguka na kuzungumzia tetesi hizo ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii. Kijana huyo ambaye tayari ameshaonekana mara kadhaa katika baadhi ya video za mastaa wa muziki nchini, amemmwagia sifa malkia...
Share:

Friday, October 21, 2016

Majambazi Hatari Wauawa.....Bunduki 9 Zakamatwa

Jeshi la polisi limedai kwamba limeua majambazi wawili hatari na kukamata bunduki tisa, kati ya hizo SMG saba, shotgun moja na riffle moja, risasi 473 na magazini 16 baada ya majibizano ya risasi katika misitu ya Milima ya Usambara, Kijiji cha Magamba wilayani Lushoto. Katika majibizano hayo,...
Share:

Waziri Kairuki Afanya Ziara Dar, Kinondoni Kukagua Mradi Wa TASAF.......Asisitiza Waliotafuna Fedha Hizo Watatumbuliwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema atahakikisha anawachukulia hatua watendaji wote, walioshiriki katika udanganyifu wa kuingiza kaya zisizostahili katika Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
Share:

Watu 6 wanaswa na silaha kwa mganga wa kienyeji Mwanza

Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza Kwa Vyombo Kwamba Tarehe 18.10.2016 Majira Ya Saa 13:00hrs Katika Eneo La Buswelu Kata Ya Buswelu Wilaya Ya Ilemela Jiji Na Mkoa Wa Mwanza, Askari Wakiwa Katika Misako Na Doria Walifanikiwa Kuwakamata Watu Sita Wakiwa Na Silaha Mbili Zilizotengenezwa...
Share:

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kufumuliwa.....Waziri Mwijage Asema Litaundwa Upya, Vijana 136 Kuajiriwa

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema atalifumua na kuliunda upya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na kwamba wameshaanza kutafuta vijana 136 watakaoajiriwa katika shirika hilo kwa lengo la kudhibiti bidhaa, zinazoingizwa nchini chini ya viwango. Aidha, wataweka kitengo...
Share:

Kikosi Kazi Cha Jeshi La Wananchi (JWTZ) Cha Wasili Kagera Kwa Ajili Ya Kujenga Miundombinu Iliyoathiriwa Na Tetemeko La Ardhi

Kikosi kazi cha jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)kutoka makao makuu ya Jeshi kimewasili Mkoani Kagera kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya serekali iliyoathiriwa vibaya na tetemeko la ardhi lililotokea Mkoana Kagera septemba 10 mwaka huu. Akiongea wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha afya...
Share:

Wadau wa haki za binadamu nchini waendelea kusisitiza adhabu ya kifo ifutwe

Licha ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutotekeleza adhabu ya kifo kwa zaidi ya miaka 20. Imeendelea kusisitizwa kuifuta sheria ya adhabu ya kifo kwa watuhumiwa wa makosa ya mauaji kwa kuwa haisaidii kupunguza makosa hayo na kwamba iangalie chanzo cha tatizo hilo kwa lengo la kufanyia...
Share:

TSNP kutinga kwa Dk. Ndalichako, wapanga kutoa tamko la kupinga vigezo vya kupewa mkopo

Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania ( TSNP) umepanga kuunda kamati ya viongozi wa serikali za vyuo vikuu ili kukutana kwa dharura na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Joyce Ndalichako.Pia imepanga kuandaa tamko la kupinga tamko la mabadiliko ya vigezo vitakavyozingatiwa katika utoaji...
Share:

Thursday, October 20, 2016

Polisi Feki Akamatwa Jijini Mwanza

VIDEO HAPO CHIN...
Share:

Singeli Imenipa Nyumba na Gari – Man Fongo

Msanii wa muziki wa Singeli nchini Man Fongo amefunguka na kusema anashangaa mafanikio makubwa ambayo ameyapata ndani ya muda mfupi kupitia muziki wa Singeli hususani kupitia kazi yake ya ‘Hainaga ushemeji’ ambayo imemtambulisha vyema kwa jamii. Man Fongo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EATV...
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger