Tuesday, June 14, 2016

Video: Maneno ya RC Paul Makonda kwa Wahamaji wa Mitaa Dar es Salaam


Ni June 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikutana na Ayo TV kuelezea mikakati iliyopangwa na Serikali juu ya wahamaji wa mitaa.

Akizungumza na Ayo TV alisema…’Ifikapo tarehe 1 mwezi wa saba wenyeviti wa mitaa ndio watakuwa wakitoa barua za kumtambulisha mwananchi ambae anahama kwenda mtaa mwingine’- Paul Makonda

Tunamaanisha kwamba katika mkoa wetu tuna watu wengi ambao hawafahamiki kuwa shughuli zao ni zipi, na mbaya zaidi unakuta watu hao ndio wanaingia katika shughuli haramu sasa kuna njia ya kuwadhibiti hao watu kupitia wenyeviti wao wa mitaa- Paul Makonda
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger