Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi
wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya
Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.
0 comments:
Post a Comment