Mei 5 2016 Wizara ya Katiba na Sheria ilikuwa ikiwasilisha bungeni
Taarifa ya kamati ya kudumu ya bunge kuhusu utekelezaji wa Wizara hiyo
huku ikisoma na Waziri wake Harrison Mwakyembe, Baadae ilitolewa nafasi
kwa wajumbe wakiwemo wabunge ili kuchangia maoni yao kuhusu bajeti hiyo.
Hapa
nakukutanisha na Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka
alipopata nafasi hiyo ya kuchangia ambapo kwanza anaonyesha kutopendezwa
na kauli za mzungumzaji wa kwanza alipozungumzia kuhusu utendaji kazi
wa Serikali ya awamu ya Tano.
Huyu hapa Profesa Tibaijuka kwenye dakika zake saba za kumsikiliza…
0 comments:
Post a Comment