Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo
ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa
kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.Angalia video hapa chini
Monday, May 23, 2016
VIDEO: Mose Iyobo na Aunty Ezekiel Walivyoangusha Birthday Party ya Mtoto Wao
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment