Kupitia mtanndao wa instagram hot female rapper Nick Minaj
mwenye umri wa miaka 33,ambae ni X-Girlfriend wa rapper Meek Mill
amewasuprise mashabiki wake kwa kupost picha inayoonyesha akiwa mtupu
huku her big boobs (matiti)yakisitiriwa na blue & silver braa.
Mastaa wengi duniani wakiongozwa na Kim Kardashian wamekuwa wakitumia
njia ya kupiga picha za utupu na kuzitupia mitandaoni huku wengine
wakitafuta njia nyingine za kufanya majina yao yazidi kuwa juu.
Ikumbukwe kuwa on April mwaka huu jarida la Time’s nchini
marekani lilitoa list ya watu 100 maarufu wenye ushawishi ulimwenguni
huku Nick Minaj akiwemo kwenye list hiyo.
Nick Minaj & Meek Mill.
0 comments:
Post a Comment