Saturday, May 21, 2016
Basi Lingine la Mwendo Kasi Dar Lagongwa Maeneo ya Magomeni
Basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya, Magomeni baada ya gari binafsi kupiga "u-turn" sehemu isiyoruhusiwa.
Weka Maoni yako Hapa
Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger
0 comments:
Post a Comment