Friday, April 29, 2016

Gari Mpya Aina ya Toyota Lexus aliyonunua mbunge sugu na kumpa zawadi mpenzi wake yazua gumzo mtandaoni

Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aina ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya linapokuja suala la Sugu.
 
Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments kutoka kwa wadau mitandaoni:

mrs_j6316 @mwakobadoris :njoo umuone Mrs sugu au first lady wa Mbeya yetu mpaka raha wallah afu ametulia hadi uso.
 
full_mikuki :Maskini bahati hizi wengine acha tuzae tu

fine_mushy: Tenaaaaaa sio Harrier bubu Maana Kuna Harrier Kma Harrier mamaeeeee kitu LEXUS hiooooo

official_chagga_girl: Kuna watu wanakufaa ukoo,haaa haaa @tit4tati

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger