STAA
wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema
kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali
amezaliwa Kisarawe.
Aunt
amesema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa
kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa
hivyo atakubali yote.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhryeUxMNXQEntJSmqcf07LNMS4iB5Eph1MykPmDSF3bwE-j8BZjZZA-xfDVsx8yEUQT9jWAPuxT-1OjNoPdZYpbbUpkzxd1YI1_Y4FVHxig2dvna3t0wKZgpOUsEYeuuoHiuDu2s1aWM/s1600/2.jpg)
“Ninachojua
mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa hivyo nakubali yote kwa
sababu nampenda Lowassa na sijawahi kutamka kuwa mimi ni CCM kwa kuwa
sijazaliwa kwenye chama hicho, nimezaliwa kijijini kwetu Kisarawe "alisema Aunt kwa jazba.
0 comments:
Post a Comment