Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida juzi (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
Sunday, July 19, 2015
Picha: Wema sepetu alivyochukua fomu ya kuwania ubunge huko mkoani singida
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.

Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida juzi (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida juzi (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment