Wednesday, October 16, 2013

PENNY ADAIWA KUTUMIA BANGI ILI KUJIEPUSHA NA MSONGO WA MAWAZO YA MAPENZI...!!


Hivi karibumi penzi kati ya DIAMOND na PENNY  linaonekana kuingia mdudu mara baada ya zilipendwa wa Diamond kulitia dosari penzi hilo kwa kudaiwa kurudisha mahusiano yao upya na huku vuthibitisho vikionyesha baadi ya picha ambazo ziliwaonyesha wawili wao wakiponda raha huko HONG KONG.

Ndipo uvumilivu ulipomshinda mwanadada PENNY na kuamua kutoka na zilipendwa wa WEMA aitwae RAHEEM na ama hiyo ahaitoshi basi mwanadada huyo amepigilia msumali wa moto  kwenye jeneza la Penzi lake na Diamond pale alipopost picha akiwa navuta kitu kinachodhaniwa kuwa ni bangi.


Je, kwa staili hii Penny ataweza kujibu mapigo?
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger