Monday, October 7, 2013

"NATAFUTA MWANANUME WA KUNIOA MWENYE MAPENZI YA DHATI, ASIWE MLEVI WA POMBE"....HAPPY JOSEPH



Naitwa Happy Joseph  miaka 30, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya dhati,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini, rangi  wala kabila,ambaye atakuwa tayari kuanzisha familia, awe tayari tupime ukimwi.
 
Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA, si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane.
 
Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii,

happy-joseph@live.com au ani add friend kwenye facebook page yangu: https://www.facebook.com/happy.joseph.547
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger