Thursday, April 4, 2013

UPDATE: ASKARI MWINGINE AGONGWA AKIONGOZA MSAFARA WA SPIKA WA BUNGE ...!!!

Majira ya saa tisa alasiri, mtu mmoja aliyetambuliwa kuwa ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa fedha, IFM, Ramadhani Abdi amemgonga kwa gari PC Mbanya aliyekuwa akiongoza magari ya msafara wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, na kusababisha askari huyo kuvunjika mguu wa kushoto na mkono wa kushoto.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger