Thursday, April 11, 2013
Paul Okoye wa P-Square apata mtoto wa kiume...!!
Familia ya The Okoyes inazidi kukua. Ikiwa ni miezi mitatu tu tangu Peter Okoye na mchumba wake Lola wapate mtoto wa pili, pacha wake Paul naye amejaaliwa mtoto wa kwanza wa kiume.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment