Thursday, April 18, 2013

OTILIA ANASWA AKIMPAPASA KIMAHABA MNENGUAJI MWENZAKE AMBAYE NAYE NI MWANAMKE


MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Otilia Boniface amenaswa  akiwa akimtomasa  kimahaba   mnenguaji mwenzake ambaye jina lake halikupatikana mara moja.

Otilia alinaswa juzikati katika Ukumbi wa Meeda kulikokuwa na onesho la bendi hiyo ambapo yeye na mwenzake huyo walinaswa nyuma ya steji wakitomasana  na  kupigana  busu   mithili ya mume na mke, hali iliyosababisha mshangao mkubwa

 “Mwenzangu mimi ndiyo dada yenu mnapoingia kwenye bendi lazima niwapokee vizuri na nimeshawapokea wengi sana hivi ndiyo ninawakaribisha,” Otilia alisikika akimwambia mnenguaji huyo.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger